Manchester City imezindua sanamu za Vincent Kompany na David Silva Etihad stadium

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Klabu ya Manchester City imezindua sanamu za wachezaji wao wa zamani Vincent Kompany na David Silva kwenye uwanja wao wa Etihad kuelekea mchezo dhidi ya Arsenal leo.

Sanamu la tatu la Sergio Aguero linatarajiwa kukamilika mwakani.

IMG_20210828_131921.jpg
IMG_20210828_131925.jpg
 
Yaya toure vipi maana kswabeba Sana hao watu
Ngoja tuone, baada ya Aguero, pengine wanaweza mfikiria, nlizipapata kuwa wapo kwenye mfumo huo, ngoja tusubir!
 
Viongozi wangu wa Simba nashauri na sisi tumjengee sanamu kipa wetu bora kabisa Juma Kaseja

Amekuwa golikipa wetu ktk kiwango bora kabisa kwa takribani miaka 11
 
Wasisahau sanamu la sopanga ''why always me''.
 
Viongozi wangu wa Simba nashauri na sisi tumjengee sanamu kipa wetu bora kabisa Juma Kaseja

Amekuwa golikipa wetu ktk kiwango bora kabisa kwa takribani miaka 11
Zamoyoni mogela, Mohammed mwameja
 
Viongozi wangu wa Simba nashauri na sisi tumjengee sanamu kipa wetu bora kabisa Juma Kaseja

Amekuwa golikipa wetu ktk kiwango bora kabisa kwa takribani miaka 11

Kwa uwanja upi tunaomiliki simba?
 
Back
Top Bottom