Manchester City wafanikiwa kukwepa adhabu ya kufungiwa UEFA

Nilikuwa wa mwisho kuamini kuwa man city hawez kucheza uefa kwa miaka miwili
Wewe kama mimi, ulaya adhabu zao sijui zikoje aisee, chelsea kafungiwa mara kafunguliwa, huyu nae walewale tu
 
Wasiokupenda utawajua, wakati ukifurahi wao wanachukia.

City moto chini, city moto chini......

Tukutane Uefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…