Huyo kwake alikuwa 3 sijui 4Gunnerz mnaweza kuukosa ubingwa kimasiala.. wikiend mnakutana na kiboko ya vigogo brentford mwenyewe na bado hamjacheza na city game mbili hamjamfata newcastle kwake safari bado ni ndefu kwa kweli
Uyo brentford tutampiga kama ngomaGunnerz mnaweza kuukosa ubingwa kimasiala.. wikiend mnakutana na kiboko ya vigogo brentford mwenyewe na bado hamjacheza na city game mbili hamjamfata newcastle kwake safari bado ni ndefu kwa kweli
Mechi ilopita na spurs alimuweka KDB nje na alishinda nneKuna mdau alianzisha thread kwamba Guardiola anamtengenezea mazingira arteta achukue ubingwa leo ndio nimeamini unamuweka kdb nje bila sababu halafu unataka ushindi yule guy anaihujumu team alimuweka joao cancelo nje bila sababu mpaka mwenyewe akaaamua kuondoka.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Akili za Makolokolo bhana, mbona jana Kagere aliwatengenezea Mbumbumbu urahisi wa kubeba point 3 kwa Singida FC akijikosesha nafasi 3 za wazi kabisa kuwafunga Malalamiko FC lakini hukuelezea?[emoji1787]Kuna mdau alianzisha thread kwamba Guardiola anamtengenezea mazingira arteta achukue ubingwa leo ndio nimeamini unamuweka kdb nje bila sababu halafu unataka ushindi yule guy anaihujumu team alimuweka joao cancelo nje bila sababu mpaka mwenyewe akaaamua kuondoka.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Umesoma vizuri comment yangu lakiniAkili za Makolokolo bhana, mbona jana Kagere aliwatengenezea Mbumbumbu urahisi wa kubeba point 3 kwa Singida FC akijikosesha nafasi 3 za wazi kabisa kuwafunga Malalamiko FC lakini hukuelezea?[emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hakuna hakuna kitu kama hicho endelea kuota..Na man u akizichanga karata vzr anabeba ndoo.Aendelee kukimbiza mwizi kimya kimya
Wakikitana na kigogo wale watoto wanapenda sifa za kijingaUyo brentford tutampiga kama ngoma
Kuweni makini nao wabishi wale watotoHuyo kwake alikuwa 3 sijui 4
Tutajipigia japo alishatufunga ila msimu huu lazima adondoshe point 6Wakikitana na kigogo wale watoto wanapenda sifa za kijinga
Pia kumbuka kuwa tumemfunga Man united na Tottenham home and away. So usituchukulie poaGunnerz mnaweza kuukosa ubingwa kimasiala.. wikiend mnakutana na kiboko ya vigogo brentford mwenyewe na bado hamjacheza na city game mbili hamjamfata newcastle kwake safari bado ni ndefu kwa kweli
Hizi imani daaaahKuna mdau alianzisha thread kwamba Guardiola anamtengenezea mazingira arteta achukue ubingwa leo ndio nimeamini unamuweka kdb nje bila sababu halafu unataka ushindi yule guy anaihujumu team alimuweka joao cancelo nje bila sababu mpaka mwenyewe akaaamua kuondoka.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app