Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Wanatumia pesa za nnje ya mpira kununulia wachezaji, UEFA hawaruhusu hiyo
Source plzKlabu ya Manchester City imefungiwa kushiriki kwenye mashindano ya Champions League & Europa League kwa misimu miwili na kulipa faini ya €30m kwa kukutwa na hatia ya kuvunja sheria ya matumizi ya fedha (UEFA Financial Fair Play).
View attachment 1357775
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Manchester City imefungiwa kushiriki kwenye mashindano ya Champions League & Europa League kwa misimu miwili na kulipa faini ya €30m kwa kukutwa na hatia ya kuvunja sheria ya matumizi ya fedha (UEFA Financial Fair Play).
View attachment 1357775
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuokote almasi Kariakooo!
Tunapewaje mzee? Adhabu inaanza miaka miwili ijayo siyo msimu huu
Wakate rufaa.Itakimbiwa na Wachezaji wake wote wazuri sasa hivi. Hii Adhabu ni Kubwa mno na haina sana Afya Kimchezo kwakweli.
Walichofanya Man City kina afya kimchezo?Itakimbiwa na Wachezaji wake wote wazuri sasa hivi. Hii Adhabu ni Kubwa mno na haina sana Afya Kimchezo kwakweli.
Who cares!Yaani pamoja na kumaliza top 4 bado hawatacheza UEFA?
Hii adhabu itaumiza wachezaji na hata kocha wao.
Mwakyembe wao anadai wapunguze wachezaji wakigeni