Manchester City yakutwa na hatia ya mashtaka 114 ya kifedha ya Ligi Kuu ya Uingereza

Una lengo gani na Yanga mkuu? Tukisema wewe ni mpumbavu tutakuwa tumekosea?
 
Watu bana. Yanga Bingwa.
 
Yanga kahamia EPL lini?
 
Hii sheria ya mambo ya pesa walileta kudhoofisha vilabu vya Italy na Hispania, angalia anguko la Barcelona na Ac Milan ambqzo zilikuwa zinatamba ulaya.
Tuhuma za Psg na Man City ni za muda mrefu mpaka sasa bado maamuzi hayajatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…