Manchester United accept world record offer of $130 for C. Ronaldo from Real Madrid

kaaaaaaaazi kweli kweli, players wetu wanajifunza nini kutoka kwa wenzao
 
Manchester will sell Ronaldo to Real Madrid for $130 Million (£80m). As a Man U fan today is sad day for me. But since football is a game of business, this is real fantastic action
dont be sad that money u can just take pound mil 10 n get urself a new ronaldo.i dont believe on spending big.
 
kasheshe hapo sasa kwaperez.manake una kaka n ronaldo alafu timu inashindwa kuchukua ubingwa.moto utawaka madrid.
 

But SAF has proven to be right through all the decisions! No player is bigger than a CLUB! Never forget that! For every play who leaves, there is a new one ready to replace him. Ligi inaweza kuwa wazi zaidi next year, lakini, you can bet Man Utd will be in contention. Wachezaji wenye sifa nyingi mwisho wao huwaga wa kifala. Wachezaji kama Paul Scholes, Ryan Giggs, wameweza kucheza na timu moja na kuwa na mafanikio sana. Mwisho wa siku, huwezi kushinga ligi kwa kutumia mchezaji mmoja, na hilo SAF anajua!
 
swali tu huyu jamaa anatoa wapi pesa zote hizi wakati dunia nzima wanalia na hali ya uchumi mmm, ngoja nasi tusubiri Manji anavyotarajia kufanya matusi usajili wa Yanga ha ha ha ha ha ha
 


True, babu amezidi na kauli mbiu yake ya 'no one is above the club' lol
 
Ni wakati muafaka kumuuza dogo
 

Tupo pamoja sana mkuu kwenye hili. Mimi ki ukweli naona business nzuri sana na hasa kiutani yaani ukiongeza hela kidogo katika hiyo iliyopatika kwa Ronaldo Man Utd wanaweza kuinunua Newcastle maana ni GBP Million 100
 
Huu ni wazimu na hii si bei ya soko (maana hapa tunazungumzia karibu 20% ya stimulus package ya Kikwete). Hata kama mimi ningekuwa Malcolm Glazer nsingejivunga.
 
mara ya mwisho madrid waliuza uwanja wao wa training madeni yalipozidi sijui madeni yakiwazidi watauza nini safari hii
madrid kuna political influence kubwa ndio maana wanaweza kutoa hela nyingi

premier league yote wanapatana bei kwa pamoja halafu hela ndio zinagawiwa kwa kila klabu,
lakini la liga kila timu inafanya TV deal yake kwa hiyo kwa real madrid kuwa na ma stars kutawafanya wao wapate hela nyingi sana kutoka kwenye TV deal
 

"No Player is above the club"...unaukumbuka huo msemo? kwa 80 Million Pounds unamwacha aende tuu, Kwa bayern tunafanya trade ya Berbatov na pound milioni 35 juu tunamchukua Ribery na tunambakisha Tevez kwa 20 millions.
 
Last edited:
Fergie anatakiwa atafute striker 2 na winger mmoja wa kuziba mapengo ya Tevez na Ronaldo
 
i lov money
fargie anapenda hela
cr7 also lovs money
mun u lovs money
$130
thats an offer u cant refuse
mwache aende...
 
Fergie anatakiwa atafute striker 2 na winger mmoja wa kuziba mapengo ya Tevez na Ronaldo

Muda wa Nani kustep in kwenye viatu vya Ronaldo sasa....Ila kwa offer kama hii sidhani kama Ronaldo atakataa kwenda.
 
........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…