Manchester united ikimaliza misimu 2 haijashuka daraja najinyonga na mwili wangu naomba usizikwe

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Timu ya Manchester united ikimaliza misimu miwili ligi kuu ya uingereza haijashuka daraja najinyonga na naomba mwili wangu usizikwe.

Zama za Ferguson kununua mechi zimefika mwisho.

Ntarudi baadae.
Screenshot_20191009-131102_Instagram.jpg
 
Man u wakipigwa na liverpoool tareh 20,wanaenda chin zaid mpaka huruma,

Sidhan kama wanauwezo hata wa kupata draw mbele ya majogoo, daa pole sana man u,

Ole ajaribu kuongea na klop labda ustarabu inaweza kufanyika, hio ndio njia pekee ya man u kushinda, unless otherwise wale jogoo wanaenda kumtafuna shetan mwekundu pale pale OT
 
Write your reply...Manchester hawezi kushuka daraja hata awe mbovu vipi hashuki daraja
 
Hata awe mbovu kiasi gani hawezi hata kumaliza wa 10
 
Timu ya Manchester united ikimaliza misimu miwili ligi kuu ya uingereza haijashuka daraja najinyonga na naomba mwili wangu usizikwe.

Zama za Ferguson kununua mechi zimefika mwisho.

Ntarudi baadae.
Katafute pa kufia usihusishe Man United
 
Man u wakipigwa na liverpoool tareh 20,wanaenda chin zaid mpaka huruma,

Sidhan kama wanauwezo hata wa kupata draw mbele ya majogoo, daa pole sana man u,

Ole ajaribu kuongea na klop labda ustarabu inaweza kufanyika, hio ndio njia pekee ya man u kushinda, unless otherwise wale jogoo wanaenda kumtafuna shetan mwekundu pale pale OT
Hesabu zimegoma, Utd atamfunga Liverpool. Mark my comment
 
Back
Top Bottom