Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Asa hili tatizo..😂😂
Katafute pa kufia usihusishe Man UnitedTimu ya Manchester united ikimaliza misimu miwili ligi kuu ya uingereza haijashuka daraja najinyonga na naomba mwili wangu usizikwe.
Zama za Ferguson kununua mechi zimefika mwisho.
Ntarudi baadae.
punguani wewekikundi cha mashetani mashoga
Hesabu zimegoma, Utd atamfunga Liverpool. Mark my commentMan u wakipigwa na liverpoool tareh 20,wanaenda chin zaid mpaka huruma,
Sidhan kama wanauwezo hata wa kupata draw mbele ya majogoo, daa pole sana man u,
Ole ajaribu kuongea na klop labda ustarabu inaweza kufanyika, hio ndio njia pekee ya man u kushinda, unless otherwise wale jogoo wanaenda kumtafuna shetan mwekundu pale pale OT
Hata mmi nineona hili swala Liverpool anaenda kufia pale OTHesabu zimegoma, Utd atamfunga Liverpool. Mark my comment
Attention seeker.
Hesabu zimegoma, Utd atamfunga Liverpool. Mark my comment