Manchester United mbioni kumtangaza Erik Ten Hag wa Ajax kuwa kocha wao mpya

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672

Taarifa kutoka ndani ya Manchester United ni kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumtangaza Erik Ten Hag kuwa kocha wao mkuu alitokea Ajax ya Uholanzi.

Man United imeamua kumpa nafasi kocha huyo atakayeanza majukumu msimu ujao kutoka katika listi ya makocha waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuajiriwa klabuni hapo, wengine ni Mauricio Pochettino wa PSG, Luis Enrique (timu ya taifa ya Hispania) na Julen Lopetegui (Sevilla).

Ten Hag (52) atachukua nafasi ya Ralf Rangnick ambaye ni kocha wa muda, aliyepewa nafasi hiyo baada ya United kumfukuza Ole Gunnar Solskjaer mwaka jana, lakini bado timu imekuwa haina mwenendo mzuri uwanjani.

Kocha huyo ambaye amekuwa akiinoa Ajax tangu mwaka 2017 kwa sasa timu yake hiyo inaongoza katika Ligi Kuu ya Uholanzi ikiwa kileleni kwa tofauti ya pointi nne na zikiwa zimesalia mechi sita ligi kumalizika.

Alibeba ubingwa wa Uholanzi mara mbili, mwaka 2019 na 2021, mwezi uliopita alizungumza na uongozi wa Man United na inaelezwa ndipo alipowapa mipango mizuri ambayo imewashawishi kumpa ajira hiyo.
====

Reports suggest the Old Trafford club have decided to appoint the current Ajax boss, who topped a four-man shortlist which included Mauricio Pochettino, Spain coach Luis Enrique and Sevilla's Julen Lopetegui.

Ten Hag will take the role on a permanent basis, replacing Ralf Rangnick who has been in charge on an interim basis since sacking of Ole Gunnar Solskjaer.

Manchester United's search for a new manager looks to be at an end with Erik Ten Hag reportedly set to be appointed.

The Ajax boss was interviewed by United last month and according to ESPN, is the preferred candidate to succeed interim manager Ralf Rangnick in the summer.

The report claims Ten Hag topped a four-man shortlist which also included Paris Saint-Germain's Mauricio Pochettino, Spain coach Luis Enrique and Sevilla's Julen Lopetegui.

Ten Hag, 52, has been at Ajax since 2017, leading them to Eredivisie titles in 2019 and 2021 as well as a run to the Champions League semi-finals in the same year as the former.

The Amsterdam club are currently four points clear at the top of the Dutch championship with six matches remaining.

United have been on the search for a permanent replacement for Ole Gunnar Solskjaer, after the Norwegian was sacked in November.

Rangnick was brought in on a temporary basis with view to taking on a consultancy role at the end of the season when a new manager is appointed.

United currently sit seventh in the Premier League, three points adrift of fourth-place Tottenham in the race for Champions League football next season.

The ESPN report claims the decision to bring in Ten Hag was taken by football director John Murtough and technical director Darren Fletcher.
 
hata itokee Pep awe kocha mkuu, halafu klopp awe msaidizi pale viungani OT., hakuna jipya litakalotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…