Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajazoea uwanja.Nikajua Ronaldo ndio ufunguo kumbe bado ni utopolo?
Ila mnazingua nyie manyumbu. Team iko mtu mmoja pungufu na iko ugenini na bado hata kabla ya kuwa pungufu Young Boys walikuwa wanaupiga mwingi wakumwagika.Sijawai kuona kocha mjinga Kama ole yaani timu Kama man u ilivyo unapaki basi kwa young boys?