Manchester United Ole kama wanataka kombe

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu ukweli lazima usemwe kwa sasaman united wanachokosa ni kocha tu Ole Gunnar sio kocha hata manyema hawezi fundisha kama wanataka kubeba kombe msimu huu basi wamtimue kocha wao.
 
Lingard ametoa boko
Yaani Man U na Ronaldo juu ila tunachapwa mpk na utopolo wa Uswis kweli????
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijawai kuona kocha mjinga Kama ole yaani timu Kama man u ilivyo unapaki basi kwa young boys?
Ila mnazingua nyie manyumbu. Team iko mtu mmoja pungufu na iko ugenini na bado hata kabla ya kuwa pungufu Young Boys walikuwa wanaupiga mwingi wakumwagika.

Bado mlitaka Ole Sendeka awaambie wachezaji wake wafunguke? Simngepigwa mkono kabisa.

Two attempts katika dakika 90 kwa 19 attempts. Mlistahili kufungwa hata goli nne.
 
Kwenye soka lolote linaweza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…