[emoji16] unadhani yeye ndo tatzo [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Antony Masebene na Real Betis yake wanajipigia tu kina Madrid huko.
Ila akija United anaonekana takataka, mi nakwambia uchawi tuliorogewa ulipitishiwa kwa huyo babu, siku ukisikia SAF amevuta ndio siku tunakua rasmi tumetoka kifungoni.
SAF kwa sasa ni sawa tu na hirizi inayopumua.
 
Attachments

  • images-1.jpg
    37.7 KB · Views: 1
Utd hatuna goli kipa saves ambazo De gea alikuwa anafanya ni nadra kuona Onana akifanya na hii ndio sababu tupo nafasi mbovu. Uongo mbaya De gea alikuwa anatubeba sana na timu yetu mbovu ETH katuleta tatizo lingine.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Si wenyewe ndio tulikua tunataka kipa kisheti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…