D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Safi sana pigaaa Hawa man uuuu
Kaka tuacheπ πNaunga mkono hoja π€£π€£ππ€£π
Hii timu kisaikolojia haipo sawa usipowapa moyo hivi wangeokota nyavuni hata bao kumiErik ten Hag: βThe players gave everything. The performance was very good. It was very small margins.β #MUFC [Sky
Kwa wachezaji gani sasa maana nakumbuka msimu kabla haujaanza waliwekwa sokoni wachezaji sita na hakuna hata mmoja alieuzika na ndio hao unawaona daily kikosiniTafuteni KOCHA ndugu zangu
ππππHuyu kocha anyongwe sio kawaida
Hebu muacheni jasusi wa watu, mnataka akale wapi?π
Hapo mngeshinda na hiyo hiyo possession ya 26% mngemsifia kocha.Manchester City had more shots (27) than Manchester United had possession in the game (26%)
Daah,basi cha ku-comment tena[emoji28]Moderators unganisheni Uzi huu na ule wa kula tunda kimasihara
Bora ushangilie hata wale watoto wa LUTON ππ kidgo utapata tabasamu Kwa ball laoNatangaza Leo kuwa ni ujinga mtu na akili zako kuwa Nyumbu..