Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Hii timu ikamilishe mchakato wa uuzwaji wake ili ipate utulivu wa kiutawala.
Haiwezekani timu inakuwa kama pombe ya ngomani, tena kule uzaramoni kbs yeyote mwenye kata anachota tu.
Timu limekuwa kama ngoma ya wandengereko, yeyote yule anapiga tu.
Hakuna kocha pale, afukuzwe haraka sana kbl timu haijashindwa kuingia top 4. Vinginevyo Europa inahusika.