hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Manchester United itaendeleza mbio zake za kuwania Champions League title leo kwa kuifuata Marseille kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Stade Velodrome. Kama tujuavyo tunategemea utamu wa mashetani wekundu leo,lakini kwa upande mwingine wanakibarua kigumu leo cha kukabiliana na marseille ambao wamemaliza matatizo yao ya mwanzo wa msimu na ambao kwa sasa wanakikosi ngangari kilichojidhihirisha kuanzia mwanzo wa mwaka.
Marseille itawakosa mastriker wao Andre-Pierre Gignac, wakati ma striker wafuataji Remy na Brandao wanauwalakini wa kutotokea kutokana na maumumivu yanayowakabili. Manchester United itawakosa wachezaji wao watano muhimu kutokana na majeraha waliyonayo Rio Ferdinand, Johnny Evans, Ryan Giggs, Anderson na Michael Owen.
MANCHESTER UNITED
Goalkeepers: van der Sar, Kuszczak, Lindegaard
Defenders: Vidic, O'Shea, Brown, Rafael, Fabio, Evra, Smalling
Midfielders: Scholes, Gibson, Nani, Carrick, Fletcher, Bebe, Obertan, Tunnicliffe
Strikers: Rooney, Berbatov, Hernandez, King.
MARSEILLE
: Mandanda; Taiwo, Diawara, Mbia, Heinze; Cheyrou, Lucho Gonzalez, Cisse; Remy, Brandao, Ayew.