Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Mimi ni mmoja kati ya mashabiki lia lia wa man u na young africa,kwa yanga kila siku zinavyosonga timu inazidi kuwa mbovu kuliko jana.Sasa kwa wale mashabiki wenzangu wa yanga na man u dawa ni kuamishia ushabiki wote kwa united.
Kwa maana hiyo yanga hakuna timu imebaki jina tu,kocha mwenyewe yupo yupo tu kwa sasa.Inatupasa kustaafu kushabikia yanga kwa sasa kwani ni kujitia presha.
Wale wa msimbazi ni muda wenu kutesa mkishindwa safari hii mtakuwa.........................