Manchester united vs Young Africans.

Night Watch

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,126
Mimi ni mmoja kati ya mashabiki lia lia wa man u na young africa,kwa yanga kila siku zinavyosonga timu inazidi kuwa mbovu kuliko jana.Sasa kwa wale mashabiki wenzangu wa yanga na man u dawa ni kuamishia ushabiki wote kwa united.


Kwa maana hiyo yanga hakuna timu imebaki jina tu,kocha mwenyewe yupo yupo tu kwa sasa.Inatupasa kustaafu kushabikia yanga kwa sasa kwani ni kujitia presha.
Wale wa msimbazi ni muda wenu kutesa mkishindwa safari hii mtakuwa.........................
 
Hahaaa. Pole sana mwana yanga lia lia mwenzangu. Aisee timu yetu inakera sana.

Bora tuhamie EPL huenda tukafarijika na sisi.
 
Ni aibu kubwa shabiki wa man u kuishabikia yanga...
Yanga size yake ni mashabiki wa arsenal!
 
Mimi Yanga na Liverpool na Madrid.Miaka ya nyuma hapa Yanga na Madrid walipa raha zote nilizozitaka katika soka,safari hii hata Madrid inanipa wasiwasi.
 
Mimi Yanga na Liverpool na Madrid.Miaka ya nyuma hapa Yanga na Madrid walipa raha zote nilizozitaka katika soka,safari hii hata Madrid inanipa wasiwasi.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›Huna kwa kujipoza sasa hivi.
 
Tuma Salamu Kwa OmoG

"NeVeR_sAy_NeVeR"
 
Mi pia ni Yanga man u ila acha tu niendelee kulia lia kwa kua kule mbele wananipoza machungu iko siku labda furaha yetu ya siku za nyuma itarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…