Hapo wanapambanishwa Mabingwa wa Ulaya. Man Utd na Mabingwa wenzao wa Amerika ya Kusini. Boca junior,AC Millan na Buyern Ni Wadhaminiwa wa Audi Co. Wanavaa Jezi Zao Audi, Opel nk. Nadhani ni Michuano isiyo na hamasa ya kutosha, Hata Emirates nao Walishaanda huko nyuma. Arsenal(eng)SV.HumbuRG(Grm)..walishiriki