Manchester united yaifunga barcelona 2-1

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
Katika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca likifungwa na THIAGO,japo barca walichezesha timu B,Man utd waliweka karibu full mziki,Game lilikuwa kali utadhani wanagombania kombe!HONGERA MAN UTD FANS
 
Hii mechi si ilikuwa ichezwe jumapili? Au niwmelewa bila kunywa?
 
Katika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca likifungwa na THIAGO,japo barca walichezesha timu B,Man utd waliweka karibu full mziki,Game lilikuwa kali utadhani wanagombania kombe!HONGERA MAN UTD FANS

Are u kiddin me....Barca hiyo without Messi, Xavi, Mascherano or Sanchezzzzzz...??????
While Man U had a full list????????
 
K<b>atika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca likifungwa na THIAGO,japo barca walichezesha timu B,Man utd waliweka karibu full mziki,Game lilikuwa kali utadhani wanagombania kombe!HONGERA MAN UTD FANS</b>
<br />
<br />mechi inachezwa leo!
 
Katika mechi ya kirafiki iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani ,manchester imeibuka na ushindi wa 2-1,mabao ya man utd yamefungwa na LUIS NANI,na OWEN,na bao la barca likifungwa na THIAGO,japo barca walichezesha timu B,Man utd waliweka karibu full mziki,Game lilikuwa kali utadhani wanagombania kombe!HONGERA MAN UTD FANS

Barca walipanga kikosi F
 
Mimi natoa ushauri wa bure kwa man u, kwamba wasije wakabweteka, bado wana mlima mrefu kuupanda ili kuweza kuwashusha barcelona na rekodi yao.
 
Anagalau wamefarijika ata kama kilikuwa kikosi Z
 
Back
Top Bottom