Manchester United yamtoa Greenwood kwa mkopo kwa msimu mmoja

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Timu ya Soka ya Getafe ya Spain imemsajili mshambuliaji Mason Greenwood kutoka Manchester United kwa mkopo kwa Msimu mmoja

Greenwood alisimamishwa Kucheza ligi Kuu ya Uingereza EPL tokea Januari 2022 kutokana na mashtaka mbalimbali yakiwemo jaribio la ubakaji na unyanyasaji wa kingono, ambapo mashtaka hayo yalifutwa mwezi Februari

Hivi karibuni Mashabiki wa ManU waligoma wakipinga Greewood kurejeshwa katika Kikosi kuitumikia timu hiyo, hivyo Uongozi wa timu ulikuwa unaangalia uwezekano wa kumtoa kwa mkopo, kumuuza au kuvunja mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…