Manchester Utd vs Arsenal UEFA Champions 09

...halafu hii thread inaendelea ya nini wakati game ilisha kwisha tangu jana? au ndio mnasubiria EPL pia? acheni hizo nyie, aaaarrggghh... au ndio 'kipofu kaona mwezi?' Samir Nasri aliwatundika mbili wala hatukuwafanyia tasnifa namna hii ๐Ÿ™
 
Duh kama utani yaani safari ya ubingwa wa premier itapitia Emirates na champions league imepitia Emirates.....balaa hili....mashetani juuuu
 
...halafu hii thread inaendelea ya nini wakati game ilisha kwisha tangu jana? au ndio mnasubiria EPL pia? acheni hizo nyie, aaaarrggghh... au ndio 'kipofu kaona mwezi?' Samir Nasri aliwatundika mbili wala hatukuwafanyia tasnifa namna hii ๐Ÿ™

Mbu, Acha hasira kuna wengine hatukuwa karibu na JF

Mwangalie nduguyo hapo baada ya kipigo cha juzi kati

Arsenal striker's late-night Bendtner sees Nicklas drop his trousers after Gunners' pants display

Last edited:
Mbu tugange yajayo next game mnakutana majeruhi tupu
Arsenal Vs Chelsea
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ