Man wamebahatisha 1 - 0 ya Chelsea. Tutarudisha na kuwatandika 2 - 1. Bado nina matumaini makubwa tu!
Half time ikiisha tunao tu
LiveFooty V 2.1-|Free Live Sport Stream|Live Footy|Live Free Football|Premier League|Gratis|BundesLiga|LFP|EPL|CL|SPL|Seria A|Cricket|TennisMimi ninaangalia kupitia Manchester United vs Chelsea Live|Mant Utd vs Chelsea Live Highlights lakini hakuna sauti. Je kunamtu anaengalia online, anipe link?
1-1 Final score.
Dakika ya 86 goli la tatu mfungaji na Berbatov
Mmh, hiki kisago kinaweza kikaotesha nyasi kwenye kibarua cha Scolari, Abramovich hacheki na kima. Pole kaka Invisible, money cant buy you trophies!!
Nimefurahi sana Chelsea kufungwa tean MATATU. Matatu kwa 0! Au Chelsea wameonewa? Heheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Bado nina matumaini makubwa tu!..Half time ikiisha tunao tu
Muda si mrefu kutakuwa na pambano baina ya
na
Mimi kama mpenzi wa Chelsea FC naamini leo tunawabwaga vibaya Man Utd nyumbani kwao... Let's keep them updates running π here!
Leo tunawalowesha π π π
Refa alikuwa anapendelea man utd hhaaahaa aaahhaaa aaaaaaaa!
Na hata hivyo, it's clear man utd wamebahatisha!
Poleni Chelsea-- na Liverpool mliokuwa mnaomba droo!
Wakuu wapenzi wa Man U, nimekubali... Mmetuzidi soka leo. Ila possession ilikuwa ni 50% kwa 50% tu.Mkuu Invisible upo? au umeshakwenda kulala?
Wakuu wapenzi wa Man U, nimekubali... Mmetuzidi soka leo. Ila possession ilikuwa ni 50% kwa 50% tu.
Pengo la Essien nimeliona leo rasmi.
Roho inaumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Sijalala mwanangu... Roho inauma tu.
Hongereni wakulu