Mancure na Pedcure na Massaji?

Mancure- ni mambo ya uoshaji wa mikono na urembo wake

Pedcure- hii inahusika na usafi na urembo wa miguu.

Masaji - ni kukandwa mwili ili kuondoa uchovu. Kuna mada nyingi humu jf za masaji tangu mwaka 2008, we zipitie upate habari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…