Mandela alihudhuria mazishi ya Nyerere?

Mandela alihudhuria mazishi ya Nyerere?

Hakuhudhuria, "Pia tunakumbuka kwamba Mzee Mandela
yeye alikuja baadaye mpaka Butiama
kutoa pole. Ilikuwa Novemba 26, 1999.
 
Alikuja baada ya mazishi na kudhuru kaburi la Mwl kule Mwitongo Butiama!!
 
Nyerere alimpenda sana Mandela ila Mandela hakumchukia Mwalimu! Hata kwenye kitabu chake cha the long way to freedom hakumtendea haki Mwl kwa jinsi alivyomzungumzia hakumpa uzito unaostahili!
 
Hivi kitabu chake (MANDELA)kinaitwa LONG WALK TO A FREEDOM au LONG WAY TO A FREEDOM?
 
Hakuja lakini mama Graca Matchel alikuja na alikaa mpaka mwisho.
 
Kaburi la Mwl.NYERERE pale Butiama, limejengwa kwa gharama za Ndugu Mandela. ( Kama ulikua huelewi).

These Saints , were the best friends ever!

Niliwahi kuongea na Mwl. NYERERE last year through a dream. He is still alive!
 
Back
Top Bottom