Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

Mandhari na Bustani Kuzunguka Nyumba Nazo Huandaliwa Ramani Kama Hivi

Nyumba Nafuuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
408
Reaction score
437
Mvuto wa nyumba yeyote iwe ya familia au kupangisha, hutegemea sana mwonekano na mpangilio wa mandhari ya nje... Kitaalamu huitwa LANDSCAPING

sasa landscaping haiwekwi kwa kukisia kisia, bali ni utaalamu wa kusanifu ndio unaoamua jengo lako liwekwe - kitaalamu huitwa LANDSCAPE DESIGN

Hapa chini ninakuonesha baadhi ya kazi mbili za design ambazo tumezifanya huko KONDOA na BUKOBA VIJIJINI

Kwa msaada wa ushauri au kuandaa ramani design za mandhari za nje, tumebobea
+255-657-685-268
...
Tunaandaa design iwe kulingana na mazingira ya nyumba yako yanayoizinguka ... Haijalishi umeshajenga au bado
- mwishoni utapata design yenye picha mazingira yatakavyokuwa na michoro ya kufanyia kazi

+255-657-685-268
Call/WhatsApp

Baada ya kupata design then steji inayofuata ni kupata fundi mtaalamu kuichukua design iwe uhalisia

IMG-20230711-WA0040.jpg
IMG-20230711-WA0037.jpg
IMG-20240509-WA0010.jpg
IMG-20230711-WA0038.jpg
IMG-20230711-WA0035.jpg
IMG-20230711-WA0033.jpg
IMG-20240509-WA0009.jpg
IMG-20230711-WA0032.jpg
IMG-20220928-WA0047.jpg
IMG-20220928-WA0044.jpg
IMG-20220928-WA0040.jpg
IMG-20220928-WA0039.jpg
IMG-20220928-WA0041.jpg
IMG-20220928-WA0050.jpg
IMG-20220928-WA0048.jpg
IMG-20220928-WA0051.jpg
IMG-20220928-WA0054.jpg
IMG-20220928-WA0055.jpg
IMG-20220928-WA0053.jpg
IMG-20220928-WA0059.jpg
IMG-20220928-WA0061.jpg
IMG-20220928-WA0063.jpg
IMG-20220928-WA0064.jpg
IMG-20220928-WA0046.jpg
 
Acha fix! Hizi kazi ulizoonesha hapo chini unapodai ndio za kondoa na Bukoba vijijini au ume download mtandaoni
 
Design photo ni nzuri lakini sio halisia.
Picha mlizoziweka hazisemi ukweli wa hali iliyopo kwenye mazingira yetu. Fake design. Kibiashara mmechemka kabisa.
 
Design photo ni nzuri lakini sio halisia.
Picha mlizoziweka hazisemi ukweli wa hali iliyopo kwenye mazingira yetu. Fake design. Kibiashara mmechemka kabisa.
mkuu japo kweli hizo ni picha tu lakini unaweza toa kitu pure kama zinavyoonekana hapo kwenye picha maana finishing kama hizo zinahitaji pesa yako tu..sijui ww unaishi wapi ila jua kuna matajiri huko masaki na mbweni wana landscaping kali zaidi ya hizo kwenye picha muhimu pesa tu
 
Nahisi wewe ndio haujaelewa dhumuni lake. Ungetumia picha halisi kw kazi mlizokwisha kuzifanya ninyi ingekupeni credit na wateja zaidi kuliko hii option ya kuweka picha (plan) mlizo render. Uhalisia huvutia zaidi kuliko hizi za ku sanifu / generate/kufikirika.
 
Back
Top Bottom