Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE