Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
unawaza kula tu !Atakula kwako mkuu?
Watu wapo kazini mkuu....unawaza kula tu !
Ukifa wakati unatafuta si kosaHuu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
Akifa hasara ni yakeHuu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
SwadaktaAende kwa watunisha misuli au kunyanyua vitu vizito atengeneze mwili kama kina Randy Orton au The Rock !!! Michezo ni mingi ya kushiriki anaweza pia kuchukuliwa kwenye movies ! Hollywood kama body lake likikubali
Nahitaji pambano na mandonga
Bills zake utalipa wewe?Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
punguzeni dharau kwa mtu kazi ☹☹☹Nahitaji pambano na mandonga
Sikubaliani na wewe. Kupoteza sio tafsiri ya kua hana uwezo maana hata walio bora hupoteza pia. Kifo isiwe sababu ya kumfanya mtu asifanye anachokipenda kwa ajili ya maslahi ya familia yake. One day atashinda tu!Huu ni ushauri kwenda kwa Mamlaka zinazosimamia mchezo wa Ngumi , huyu jamaa hana uwezo wa kupigana , anasukumwa na usela tu , ngumi ni mchezo wa hatari sana kwa afya ya mtu , unaweza kusababisha kifo .
Mandonga anazipenda sana ngumi ila hana uwezo , AZUILIWE KUINGIA ULINGONI KWA MANUFAA YAKE NA FAMILIA YAKE
Kama ile jana kaanza kupoteza fahamu mapema tu lakini analazimisha eti yupo sawa aendelee sema kakutana na mzee mwenzie ila uwezekano wa kufa unawezekana
Kuna refa mmoja simkumbuki jina ni mzee hivi huwa anatabia ya kuacha kwa muda bondia apigwe ngumi kadhaa ndo anazuia pambano,sasa akikutana na refa wa namna hiyo anaweza kufa
50/50?Bills zake utalipa wewe?
Unataka aje mtaani aanze kukaba watu
Uzuri wa ngumi hata ukipoteza ila hela unapata
Nahitaji pambano na mandonga