Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi.
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa