Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kivip halina ubingwa[emoji848][emoji848]Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi.
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
Daniel ana umri gani??Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi.
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
Mandonga anavuka bodaMandoga kila siku anapigana!
Nyota imeng'aa uzeeniMandonga anavuka boda
Swali juu ya swali. Hivi Mandonga ana umri gani?Daniel ana umri gani??
Yupo kwenye 40’s..Swali juu ya swali. Hivi Mandonga ana umri gani?
La raundi ngapi? Ushauri wangu ni ule ule waweke ambulance uwanjani na barabara zifungwe kama anapita hustler, Kenya wametaka bondia sisi tumepeleka komedianiBondia wa Tanzania, Karim Mandonga a.k.a Mandonga mtu Kazi anatarajia kuzichapa na bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi.
Pambano hilo litafanyika Jumamosi, Januari 14, 2023 nchini Kenya.
Pambano hilo ni pambano lisilo na ubingwa
43Swali juu ya swali. Hivi Mandonga ana umri gani?
Ndio tobo lake hilo mkuuComedian boxer.