Mandonga mtu kazi, Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndio usimame

Chakacha

Member
Joined
Aug 19, 2021
Posts
60
Reaction score
84
Take it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame

Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya usafirishaji ya (GSM)

Pia amekula shavu Azam Tv kuwa moja ya wahamasishaji kwenye mapambano mbalimbali ya ngumi.
FB_IMG_16601395606024565.jpg
 
View attachment 2320182
Shabani Kaoneka analia lia yani kamkunyuga Mandonga ila hajapewa hata ubalozi wa chapa ya Sembe
 
Kama Piere alikuwa Straa sembuse huyu aliyepigwa za chembe kifupi Tanzania hata mtembea utupu barabarani anaweza kula shavu kupewa matangazo 🤷🏼‍♀️
 
Take it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame

Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya usafirishaji ya (GSM)

Pia amekula shavu Azam Tv kuwa moja ya wahamasishaji kwenye mapambano mbalimbali ya ngumi.
View attachment 2320182
Mtamuua Kaoneka jamani kaah!
 
Nyakati

Ni nafasi ya kipekee kwake,

Tantalila zimempa ulaji, hii ni bahati kwake, na bahati haiji Mara mbili huu ni wakati wa yeye kuwa na kitu ambacho hakuwa nacho (kama ana afford lakini)

Kapata mtaji, ni fursa ya kipekee kudili na mishe zingine, kwani ngumi kwake ni kitu anacholazimisha ila hana kipaji.

Watanzania hawachelewi kusahau maana ni kama wanapiga ngoma, ikivuma sana hupasuka, na ndipo tutakapokusahau (msahau mandonga)

1.Pierre liquid

Huyu alitrend na kukick vilivyo, wenye habari zake watakuwa wanajua.na kulamba dili fulani kwenye vinywaji vikali

2.Mzee Mpili

Huyu alikuja kimasihara watu wakamwamini kiasi Cha kula shavu kwa maboss wepesi wa kutumia kick
GSM ila mechi ya kigoma ilimzima, watanzania wakampuuza,
Kabaki akilazimisha umaarufu.

3.Dereva wa bus (New force)

Huyu yeye naye alikimbiza kunako social media na mtindo wake wa kuongea na abiria akitumia Mic, Sina uhakika kama alilamba dili lolote, ila Kuna watu wametumia sauti yake bila ridhaa yake na huwenda akalipwa mpunga mrefu tu.

Hawa ni wachache Kati ya wale ambao umaarufu wao umekuja
automatic.

My advice kwa Karim Mandonga,
Huu ni wakati ambao atazungukwa na makundi makubwa ya watu, kana vile, watakao taka awape pesa fulani ili wambrand kumbe ni matapeli.

Ndugu wengi wasiojulikana wakilazimisha udugu wa lazima.

Washikaji wadau, wacheza boxer wenzie na wote wenye kumjaza kichwa mchizi kusudi tu awanunulie pombe na mizinga,

Bila kusahau wafanyabiashara ambao ni wajanja wa mjini , yaani wakiiona tu sura yake basi suruali anazonunua elfu kumi ataambiwa laki moja.

Umaarufu mzigo haswa ukikupata ukubwani.
 
Mandonga mtu kazi ila huyu jamaa akija kweny bongo movie anaweza play part ya kina kishoka na jeblas hata seba .

Nimeona clip ile yupo na mkali wenu anajua acting sana.
Jimmy mponda,

au J plus jina maarufu
Not jeblas
 
Nyakati

Ni nafasi ya kipekee kwake,

Tantalila zimempa ulaji, hii ni bahati kwake, na bahati haiji Mara mbili huu ni wakati wa yeye kuwa na kitu ambacho hakuwa nacho (kama ana afford lakini)

Kapata mtaji, ni fursa ya kipekee kudili na mishe zingine, kwani ngumi kwake ni kitu anacholazimisha ila hana kipaji.

Watanzania hawachelewi kusahau maana ni kama wanapiga ngoma, ikivuma sana hupasuka, na ndipo tutakapokusahau (msahau mandonga)

1.Pierre liquid

Huyu alitrend na kukick vilivyo, wenye habari zake watakuwa wanajua.na kulamba dili fulani kwenye vinywaji vikali

2.Mzee Mpili

Huyu alikuja kimasihara watu wakamwamini kiasi Cha kula shavu kwa maboss wepesi wa kutumia kick
GSM ila mechi ya kigoma ilimzima, watanzania wakampuuza,
Kabaki akilazimisha umaarufu.

3.Dereva wa bus (New force)

Huyu yeye naye alikimbiza kunako social media na mtindo wake wa kuongea na abiria akitumia Mic, Sina uhakika kama alilamba dili lolote, ila Kuna watu wametumia sauti yake bila ridhaa yake na huwenda akalipwa mpunga mrefu tu.

Hawa ni wachache Kati ya wale ambao umaarufu wao umekuja
automatic.

My advice kwa Karim Mandonga,
Huu ni wakati ambao atazungukwa na makundi makubwa ya watu, kana vile, watakao taka awape pesa fulani ili wambrand kumbe ni matapeli.

Ndugu wengi wasiojulikana wakilazimisha udugu wa lazima.

Washikaji wadau, wacheza boxer wenzie na wote wenye kumjaza kichwa mchizi kusudi tu awanunulie pombe na mizinga,

Bila kusahau wafanyabiashara ambao ni wajanja wa mjini , yaani wakiiona tu sura yake basi suruali anazonunua elfu kumi ataambiwa laki moja.

Umaarufu mzigo haswa ukikupata ukubwani.
Upele umwota asie na kucha
 
Hivi mkuu ujaja na story nyingine kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom