Shabani Kaoneka analia lia yani kamkunyuga Mandonga ila hajapewa hata ubalozi wa chapa ya SembeTake it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame
Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya usafirishaji ya (GSM)
Pia amekula shavu Azam Tv kuwa moja ya wahamasishaji kwenye mapambano mbalimbali ya ngumi.
View attachment 2320182
Fala yule hamna kitu bondia kapooza kama Maji kweny mtungi.Shabani Kaoneka analia lia yani kamkunyuga Mandonga ila hajapewa hata ubalozi wa chapa ya Sembe
Ukisikia life is full of suprises ndio hivi yani.Maisha bwana
Mtamuua Kaoneka jamani kaah!Take it or leave it [emoji41] Kuna muda unatakiwa kuanguka kwanza ndo usimame
Bondia Karim Mandonga kala shavu,, Amesaini mkataba wa kuwa BALOZI wa kampuni ya SILENT OCEAN, kampuni ya usafirishaji ya (GSM)
Pia amekula shavu Azam Tv kuwa moja ya wahamasishaji kwenye mapambano mbalimbali ya ngumi.
View attachment 2320182
Hayana " formula"Maisha bwana
Jimmy mponda,Mandonga mtu kazi ila huyu jamaa akija kweny bongo movie anaweza play part ya kina kishoka na jeblas hata seba .
Nimeona clip ile yupo na mkali wenu anajua acting sana.
Upele umwota asie na kuchaNyakati
Ni nafasi ya kipekee kwake,
Tantalila zimempa ulaji, hii ni bahati kwake, na bahati haiji Mara mbili huu ni wakati wa yeye kuwa na kitu ambacho hakuwa nacho (kama ana afford lakini)
Kapata mtaji, ni fursa ya kipekee kudili na mishe zingine, kwani ngumi kwake ni kitu anacholazimisha ila hana kipaji.
Watanzania hawachelewi kusahau maana ni kama wanapiga ngoma, ikivuma sana hupasuka, na ndipo tutakapokusahau (msahau mandonga)
1.Pierre liquid
Huyu alitrend na kukick vilivyo, wenye habari zake watakuwa wanajua.na kulamba dili fulani kwenye vinywaji vikali
2.Mzee Mpili
Huyu alikuja kimasihara watu wakamwamini kiasi Cha kula shavu kwa maboss wepesi wa kutumia kick
GSM ila mechi ya kigoma ilimzima, watanzania wakampuuza,
Kabaki akilazimisha umaarufu.
3.Dereva wa bus (New force)
Huyu yeye naye alikimbiza kunako social media na mtindo wake wa kuongea na abiria akitumia Mic, Sina uhakika kama alilamba dili lolote, ila Kuna watu wametumia sauti yake bila ridhaa yake na huwenda akalipwa mpunga mrefu tu.
Hawa ni wachache Kati ya wale ambao umaarufu wao umekuja
automatic.
My advice kwa Karim Mandonga,
Huu ni wakati ambao atazungukwa na makundi makubwa ya watu, kana vile, watakao taka awape pesa fulani ili wambrand kumbe ni matapeli.
Ndugu wengi wasiojulikana wakilazimisha udugu wa lazima.
Washikaji wadau, wacheza boxer wenzie na wote wenye kumjaza kichwa mchizi kusudi tu awanunulie pombe na mizinga,
Bila kusahau wafanyabiashara ambao ni wajanja wa mjini , yaani wakiiona tu sura yake basi suruali anazonunua elfu kumi ataambiwa laki moja.
Umaarufu mzigo haswa ukikupata ukubwani.
Yeap ndio huyo kitambo sanaJimmy mponda,
au J plus jina maarufu
Not jeblas
Ni jamaa wa wapi yule jimmy mponda yaani anatokea mkoa gani?Jimmy mponda,
au J plus jina maarufu
Not jeblas
Hivi mkuu ujaja na story nyingine kweliNyakati