Mandonga mtu kazi!!!!

Mandonga mtu kazi!!!!

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,236
Reaction score
2,512
Ukitaka kuona maajabu ya Mandonga mtu-kazi, soma uzi huu. Kisha kama una taarifa zake, weka maajabu yake hapa!!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1659694746682.jpg
    FB_IMG_1659694746682.jpg
    33.7 KB · Views: 24
Unaambiwa,

Mandonga huwa anameza majani ya chai, sukari kavu, kisha anakunywa maji baridi. Chai inaivia tumboni.
Huyo Mandonga unambiwa...


Hana haja y kutumia kiberiti kuwashia moto, yeye anasugua mikono yake cheche zinatoka moto unakolea. Daadeki mwite mandonga
 
Back
Top Bottom