Mandonga: Namtaka Mwakinyo bondia wa mchongo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo.

Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
 
Anaenda qatar kupumzika kwa nini usimshauri aende dubai
 
Kwa mara ya kwanza leo nimesikia sauti y mbwata imetoka kwenye matako
 
Back
Top Bottom