Wana Jf Mara Ya Kwanza nilipoiona nyimbo ya Q-rocka ft shaa na gwea -my baby nilipata mashaka na ile biti ya ile nyimbo sister angu akasema ile biti mbona kama ya dully aliyoimbia kwenye nyimbo ya dhahabu? Me nikamuuliza kwani producer wa hii nyimbo ya my baby ni nan? akaniambia maneke, bas sikuendelea tena sababu jamaa anatabia ya kutokua mbunifu amekua ni mtu wa kukopy na leo nimemsikia dully, akiliongelea swala hilo akasema tu hawez akagombana na mtu kwa sababu ya bit na akasema kwamba ile bit aliiproduce mwenyewe na kwa master J alienda kufanya mixing, lakin maneke alichotadai et aliongea na MASTER J, mwisho maneke nakushauri tumia ubufu wako katika production lakini sio kukopy , mfano wa bit alizowai kukopy baadh ya vitu ni za nyimbo ya UTARUDISHWA MBEYA by izzo b, nataka kulewa by diamond , my baby by q-rocka na hakunaga pia nasikia alikopy na kama kuna zingine unaweza kuongezea