MANEKE; Moja ya watayarishaji wa nyimbo TZ wasiopenda kutumia akili zao

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Wana Jf Mara Ya Kwanza nilipoiona nyimbo ya Q-rocka ft shaa na gwea -my baby nilipata mashaka na ile biti ya ile nyimbo sister angu akasema ile biti mbona kama ya dully aliyoimbia kwenye nyimbo ya dhahabu? Me nikamuuliza kwani producer wa hii nyimbo ya my baby ni nan? akaniambia maneke, bas sikuendelea tena sababu jamaa anatabia ya kutokua mbunifu amekua ni mtu wa kukopy na leo nimemsikia dully, akiliongelea swala hilo akasema tu hawez akagombana na mtu kwa sababu ya bit na akasema kwamba ile bit aliiproduce mwenyewe na kwa master J alienda kufanya mixing, lakin maneke alichotadai et aliongea na MASTER J, mwisho maneke nakushauri tumia ubufu wako katika production lakini sio kukopy , mfano wa bit alizowai kukopy baadh ya vitu ni za nyimbo ya UTARUDISHWA MBEYA by izzo b, nataka kulewa by diamond , my baby by q-rocka na hakunaga pia nasikia alikopy na kama kuna zingine unaweza kuongezea
 
utarudishwa mbeya hakuitengeneza maneke ile beat kaitengeneza one the incredible. Kuhusu ile beat ya q-racka kweli inafanana na ya dhahabu hata q-racka kaimba kama dully kwenye dhahabu yani tuseme the whole idea ni ya dhahabu. Kuhusu ile beat kutengenezwa na dully sikatai ila pia master j kuna mkono wake sio kwenye mixing tu bali mpaka beat yenyewe hasa ukisikiliza zile strings kwenye chorus utakubaliana na mimi
 
huyu jamaa ni nuksi,some times huwa anajicopy hadi yemwenyewe,alimtengenezea BABY J beat alaf badae akampa hiyo beat diamond akaimbia mawazo wakati BABY J alishatoa na ela,hivo beat haikua mali ya MANECKY tena..
beat ya napata raha ya jux kacopy,mwaka jana ya Izzo kacopy..
 

Thanks Mkuu Kwa kunisahihisha hapo juu katika iyo nyimbo ya izo b
 

Afu kuna nyimbo ya TIP TOP ile inaitwa ridhiki nadhani, sasa ile beat kuna underground nimemuona tena kaimbia tena hiyo hiyo beat sema nimesahau jina la nyimbo
 
kweli hiyo beat kakopi kabisa kwenye nyimbo ya dully ni aibu sana kwa producer .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…