Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza, nikaambiwa hivi:Naomba maana zake wakuu. Kikwete anapendaga sana kuyatumia hasa anapohutubiaga hotuba zake za miisho ya miezi.
Nimeuliza, nikaambiwa hivi:
[h=2]aghalabu: Often
haiyumkiniki: hiyi kwa kweli sijui...
kuasili na: kuyafanya yawe yako (adoption)
mrahaba: royalty[/h]Jareibu kuyaweka kwenye sentensi zake uone kama inakusaidia...
Aghalabu(linatokana na Aghlab kwa Kiarabu) linamaanisha "mara nyingi", "kwa kawaida", " normally"
Haiyumkiniki ( linatokana na neno Yumkin kwa Kiarabu)
Yumkini maana yake kuwezekana, kuwa uhalisia kwa hiyo Haiyumkiniki inamaana haiwezekani, haiingii maanani
Mrabaha ina maana ya royalty
Kuasili ni kutohoa kitu kuwa chako, adopt