Maneno ambayo hutumiwa na Watanzania japokuwa wenye lugha zao hawayatumii

fungi6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Posts
287
Reaction score
266
Nimekuwa nikizunguka sehemu tofauti tofauti.

Nikaja kugundua kitu kibaya mno hivi sisi Watanzania au watu weusi ni specimen au tupo laboratory tunafanyiwa uchunguzi maana our id, imekuwa ikifanya kazi pasipo tegemezi la ego, yaani tumekuwa watu wakufanya tu kwa kukurupuka bila kuwaza ni nini tunafanya and tunakuja jua majibu kumbe chanzo ni walio nje wametufanya tuishi hivi nikawaza hivi kwa nini

1. Kwetu vivuko tunaviita zebra crossing ila wenye lugha kwao wanaita pedestrian crossing. Sasa na tulivyo zebra sasa mwanafunzi form 1 anaulizea na mwalimu kwenye mtihani na anajibu na anawekewa tick, dah

Embu sasa na wewe eka neno ambalo huku ni neno kwao wenye lugha hawalitumii?
 
Aibu nimeona Mimi, mkiambiwa muwe mnapenda shule hamsikii unajua I.P.A ya English language?


Ona kukataa kwako masomo kumekufanya uandike upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza kinapitia mabadiliko kutokana na wakati na sehemu au mazingira.
Usikariri mkuu.
Waingereza hutumia hiyo pedestrian crossing wakati wamarekani wengi hutumia crosswalk, n.k.
Lakini huko kote kama hiyo crosswalk ikiwa ya broad white stripes ukisema zebra crossing unaeleweka tu.

Kukiwa na aina nyingine ya alama za kivuko cha watembea kwa miguu mfano puffin Crossings huwezi kuita zebra crossings.
 
Majina je?
Godbless wapo Europe?
Verynice?
 
You have to understand they are various different types of pedestrian crossings, these are: Zebra, Pelican, Puffin, Toucan, Pegasus (also known as Equestrian crossings). So kushambulia matumizi ya neno Zebra crossing in our English it means your knowledge in it is questionable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…