radiation JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 241 Reaction score 254 May 18, 2020 #1 Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu.
Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu.
radiation JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 241 Reaction score 254 May 18, 2020 Thread starter #2 "Ofisa naona ndo unaamka saa hizi"
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,623 Reaction score 13,759 May 18, 2020 #3 radiation said: Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu. View attachment 1453004 Click to expand... kwa hiyo hicho kimsemo hapo ndo unafungulia uzi ?? Sent using Jamii Forums mobile app
radiation said: Mama zetu wakati tunakua kuna maneno ambayo wanapenda sana kuyasema kwa watoto haswa watoto wakikosea kitu. View attachment 1453004 Click to expand... kwa hiyo hicho kimsemo hapo ndo unafungulia uzi ?? Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 May 18, 2020 #4 Corona imepanda kichwani...
wilmar JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 416 Reaction score 1,113 May 18, 2020 #5 Anafoka nusu saha nzima alafu anakwambia Leo sijiskihi kuongea
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,794 Reaction score 5,352 May 18, 2020 #6 "Lione kwanza livivu kama baba yako"
White party JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 1,035 Reaction score 1,169 May 18, 2020 #7 ",..toa ujinga wako hapa"...
radiation JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 241 Reaction score 254 May 18, 2020 Thread starter #8 "hii mitoto itaniua na pressure"