Bunju jina la kijiji.
Mikocheni......kwa mujibu wa story yako ni palipo na mikoche. Sawa na kusema Miembeni (kwenye miembe).
Mikoche ni miti pori inafanana na minazi. Inatoa matunda yanaitwa makoche yapo kama nazi ila yenyewe ni madogo. Yana kifuu kigumu sana kuliko nazi.