Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 15,835 Reaction score 23,776 Nov 14, 2024 #1 Kuna lugha za mpito , za mitaani na vijiweni ambazo mtu msomi[aliye elimika] ni aibu na fedheha kusikika akitumia, moja wapo ni:- Ubaya Ubwela. Maokoto. Anguka Nayo Matikiti kudondokea. We huogopi? Gen Z. Imepenya Iyo. Ina -huu?
Kuna lugha za mpito , za mitaani na vijiweni ambazo mtu msomi[aliye elimika] ni aibu na fedheha kusikika akitumia, moja wapo ni:- Ubaya Ubwela. Maokoto. Anguka Nayo Matikiti kudondokea. We huogopi? Gen Z. Imepenya Iyo. Ina -huu?