Maneno "Enzi za Mwalimu" yanatakiwa kutumika panapostahili

Maneno "Enzi za Mwalimu" yanatakiwa kutumika panapostahili

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2021
Posts
245
Reaction score
457
Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie.

Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu umeanza tangu enzi za mwalimu"

Au kwenye sakata la bandari "Hata enzi za mwalimu Shivji hukuwahi kuisifia serikali."
 
Back
Top Bottom