lazima utakuwa mtu wa pwani hasa pwani ya "waja leo....." hahaa.Wakuu, ni maneno gani Uliyokuwa unayatumia zamani, either utotoni ila siku hizi huyatumii tena, iwe kwa kubadili mazingira au mfumo wa maisha, au mabadiliko ya umri!?
Mi neno moja wapo ni "GIJA" ikimaanisha teke
La pili ni "UMERO” likimaanisha uroho
Ongeza maneno mengine na maana zake,
Yaah gangwe,Hahahaaaa, kudisa