nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
dah mimi inaonekana kiingereza nimekijua mapema hata maneno ya hivyo nimeyasahauWanaosema hii lugha ilikuja na meli hawakukosea. Kuna maneno ya Kiingereza nilikuwa nayatamka vizivyo kwa kipindi kireeefu. Nimekuja gundua baadaye nikajiona kilaza sana. Haya baadhi ya maneno ambayo nilifahamu baadae matamshi yake sahihi:
1. Tier - nilikuwa nafananisha matamshi na Tyre
2. Sandals
3. Apprentice
4. Agent - nilikuwa nafananisha matamshi na Urgent
Kama kuna maneno na wewe yanakusumbua, njol tutoane ujinga [emoji4]
OK!Accept_Aksepti [emoji818]️
Accept_asepti [emoji808]️
Bourgeois ... Kumbe inatamkwa: burzhwaa!!!
Inachanganya kidogo lakini correct ya Determine ni ---min sio ---maini... ni kama exa---min sio exa-mainiDetermine wapo watamkao Ditamin wengine Ditamaini
Et "shkedule" [emoji38][emoji38]Schedule
Umetisha sana.Id yangu [emoji1426] watu wanaita “George” wakati haliitwi hivyo kuna utofauti hilo jina sio English
Jorge- inatamkwa “Hor-heh” kwa accent