Maneno haya ni marufu sana humu ndan sijajua ni kwanini

Sitaki kupoteza mda wenu kwann haya maneno ni marufu sana humu ndan, kwanini menyewe ndo yapate umarufu kushinda mengine

Maneno menyewe ni

Papuchi
Kipoch manyoya
Bashite
USA BABY

Nawasilisha nawe waweza ongeza yako
Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…