Maneno haya ni ya Kiswahili?

Hayo maneno yaliyoko kwenye rangi nyekundu ni ya kiswahili.
Labda kama unauliza kimaanishwacho yatumiwapo kama misemo.
 
Naongezea MACHALE

Machale = Asli haswa ni kwa wale wahalifu wenye kutumia uchawi wa kuchanjwa chale, na wanapokuwa maala wakifanya uharifu inaaminika kwamba chale huwa zinawacheza kwa maana ya kuwataadharisha hatari itakayo wakabili.

Baadae ili neo likaingia mtaani na kutumika na watu haswa vijana... utasikia mtu akisema kuwa jana kidogo nikamatwe (Nibambwe) na mwenyewe ila chale zilicheza nikakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…