Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Wambugi na Manguli wa lugha naomba tafsiri halisi ya maneno haya. Kwa wale tuliosoma au kuishi maeneo ya pwani miaka 1970s au Dar es Salaa, ingekuwa tusi mtu kutumia maneno ya Kukatwa mtu au Kukazana. Spika Mstaafa Mhesh Sita alikataza neno "kukazana" kutumika bungeni. Mfano serikali inakazani kumaliza kero au Wabunge ... . Leo hii nakerwa sana kusikia TV na Radio wakitumia neno "Hakatwi mtu hapa" !!!
Kiswahili fasaha ni Haikatwi pesa ya mtu na si kukatwa mtu. Kukata ni kulengeta au kuweka vipande vipande
Kiswahili fasaha ni Haikatwi pesa ya mtu na si kukatwa mtu. Kukata ni kulengeta au kuweka vipande vipande