Maneno haya ya Kiarabu yana maana gani katika nembo ya Zanzibar University ilhali lugha rasmi za taifa (Bara na Visiwani) ni Kiingereza na Kiswahili?

Zanzibar University
 

wewe ni wale wa bara walikuja kujaza mabox ya kura za CCM ?
 
Nimeedit.

Lakini pia mtu anapofanya kinyume na usahihi jifunze kukosoa kistaarabu,sio kwamba imeniuma hapana ila tu katika kumkosoa mtu mkosoaji pia anaweza kukosea njia ya kukosoa.

Wewe ni miongoni mwa wastaarabu wachache sana ndugu yangu. Binafsi, nimekuelewa. Isikuvunje moyo.
 
Unapataje tabu ya kumjibu mjinga???

Ungemuacha tu. Yeye analouliza ni zaidi ya hilo alilouliza lakini kwa kuwa ni mjinga hawezi kuuliza hilo analotaka kuuliza kwa namna sahihi ya kuliulizia.
Mjinga ni mtu asiye na uelewa wa kutosha juu ya jambo/suala fulani. Kamwe siwezi kuona aibu ya kuitwa mjinga katika kujifunza.
 
Sioni ajabu sababu school Motto ya High School niliyosoma Iyunga Tech ilikua ni "Levavi Oculus" ambayo si kiingereza au kiswahili ila ni kwa sababu ya utawala uliokuwepo.
Uliwahi kuhoji hiyo "Levavi Oculus" maana yake ni nini?...
 
Hayo maneno ya kiarabu yanamaanisha Zanzibar University kuanzia kulia kwenda kushoto.

Zanzibar ni kwa kiarabu ni زنجبار na University ni جامعه

Kiswahili ni kama tunavyofahamu Chuo kikuu Cha Zanzibar

Nadhani wanatumia maneno hayo ya kiarabu katika kuweka msisitizo zaidi kwamba ufadhili wanopewa na ile taasisi ya Darul-Imaan unathaminiwa nao kwa asilimia 100.

Hiyo taasisi ndiyo ilotoa fedha za kujenga hicho chuo na ina makazi yake nchini Canada.

Pia nadhani moja ya masomo yanofundishwa hapo ni lugha ya kiarabu.
 
Maana yake ni chuu kikuu cha zanzibar huwez kuua culture ya wazanzibar ndugu kingereza sisi tunakiforce nchini lakin kiarabu kimetangeza kiswahili kwa asilia kubwa wewe tazama watu wa pwani waliokaa na waarabu ndo wanaonekana wanajua vizur kiswahili kuliko watu wote
 
Sawa mkuu
 
جامعة (University (Chuo Kikuu
زنجبار Zanzibar
 
Wazanzibari ni nusu waarabu, uswahili unaujua wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…