habarini!
Kwa mnafahamu kimakonde naomba kuambiwa maana ya maneno hayo mawili. Mara ya kwanza nimeyasikia kutoka kwa mtaalamu Tongolanga kupitia wimbo wake wa 'baba na mama' na hivi sasa maneno hayo yanasikika mwishoni mwa wimbo wa harmonize unaoitwa 'teacher'.
Nimetokea kuyapenda sana hayo maneno na nimejikuta nayatamka mara kwa mara (sehemu ya burudani tu)
Wajuzi naomba mnitafsirie! Ahsanteni