Maneno haya ya Wastara yawatoa watu machozi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Muigizaji wa filamu,Wastara Juma amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia.Na hivyo kupelekea mashabiki wengi kumpa pole na kumtia moyo kuwa yote yana mwisho wake na Mungu ndio mpagaji wa yote.




"Hapa duniani kila mtu ana shida na matatizo lakini kwangu mimi yamezidi daaah eeeh Mungu nibadilishe basi hiyo nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine nami unipe furaha nicheke kama wengine maishani mwangu niache kulia eeeh Mungu baba jamani mimii mimiii aah".-Wastara aliandika baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Hakuweka wazi nini hasa kimempata,lakini picha hii inaonekana imetoka kwenye moja ya kipande cha filamu
 
Kwani bado hajapata bwana milionea.?
 
Kwa coment hizo hapo juu kweli JF member hampepesi macho, hakuna coment hata moja ya pole
 
Labda amtaje anayestahili hayo matatizo....aache ujinga kuna wa2 wana shida zaidi yake na wameuchuna 2.

Mi nadhani shida zinatofautinaa na sidhani Kama amefanya vibayaa! Ila siunajua yule ni movie star anaweza kua katuonjesha kipande cha movie Ina yokujaa
 
Hakuna mtu anayependa matatizo sema tunavumilia tu na kukabiliana nayo sasa hayo yakumfundisha Mungu kuwa ampe mwingine kakosea sana
 
Pamoja na mitihani yote aliyoonyeshwa bado tu anaona mungu hafanyi kazi yake vizuri?
 
yani huyu dada hajui km anamkosea MUNGU?
ye mpaka anamiliki duka,car wash,watoto na balozi wa foundation huko moro anasema ana mateso?
anmiliki simu ya ig walau yeye ana uwezo wa kupata milo m3 kwa siku bado anaona hatosheki?
kuna watu hawana vyote hvyo sijui tuwaweke wapi na wana mengine zaidi ya hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…