Kwani bado hajapata bwana milionea.?
Hii imekaa vizuri, eti ujipige picha ukiwa unalia kisha unaweka kwa mutandao!! Ili nini.
Kwan akiandika mtandaoni ndio tatizo litaishaaaaaa!!!???eti matumbo
"nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine"
Mie mmmmhhhhh, hapo hata anayetaka kumsalia anaweza kata tamaaa.
Anajua sana kuigiza...yaan ilibaki kidogo niamini
yani huyu dada hajui km anamkosea MUNGU?
ye mpaka anamiliki duka,car wash,watoto na balozi wa foundation huko moro anasema ana mateso?
anmiliki simu ya ig walau yeye ana uwezo wa kupata milo m3 kwa siku bado anaona hatosheki?
kuna watu hawana vyote hvyo sijui tuwaweke wapi na wana mengine zaidi ya hayo
Mwenye shida Hana muda wa kuandika mtandaoni ili Mungu amuone
Hii imekaa vizuri, eti ujipige picha ukiwa unalia kisha unaweka kwa mutandao!! Ili nini.
"nafasi ya mteso uliyoniweka muweke mwingine"
Mie mmmmhhhhh, hapo hata anayetaka kumsalia anaweza kata tamaaa.